Font Size
Yohana 10:18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 10:18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
18 Hakuna anayeweza kuuchukua uhai wangu kutoka kwangu. Nautoa uhai wangu kwa hiari yangu. Ninayo haki ya kuutoa, na ninayo haki ya kuuchukua tena. Haya ndiyo aliyoniambia Baba yangu.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International