Wakolosai 4:3-6
Neno: Bibilia Takatifu
3 Pia tuom beeni na sisi ili Mungu atufungulie mlango tupate kutoa ujumbe wetu na kuitangaza siri ya Kristo ambayo kwa ajili yake mimi nimefungwa gerezani. 4 Ombeni kwamba niwezeshwe kuitangaza Injili kwa ufasaha, kama inipasavyo kusema.
5 Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkiutumia wakati wenu vizuri. 6 Mazungumzo yenu yawe ya unyen yekevu wakati wote, yawe ya kuvutia, ili mjue jinsi ya kumjibu kila mtu.
Read full chapter

Read full chapterCopyright © 1989 by Biblica