Font Size
Ufunuo 2:4-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 2:4-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
4 Lakini nina neno hili nawe umeuacha upendo uliokuwa nao hapo mwanzo. 5 Hivyo kumbuka ulipokuwa kabla ya kuanguka. Ugeuze moyo wako na utende yale uliyoyatenda mwanzoni. Usipobadilika, nitakuja kwako na kutoa kinara chako cha taa mahali pake.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International