Font Size
Matendo Ya Mitume 24:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 24:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
25 Na Paulo alipokuwa akiwaeleza juu ya kuwa na kiasi na juu ya hukumu ya mwisho, Feliksi aliin giwa na hofu akasema, “Tafadhali sasa nenda, nitakuita tena nikipata nafasi.” 26 Wakati huo huo Feliksi alitazamia kwamba Paulo angempatia hongo, kwa hiyo akawa anamwita mara kwa mara kuzungumza naye. 27 Lakini baada ya miaka miwili kupita, Porkio Festo akachukua nafasi ya Feliksi kama Gavana; na kwa sababu Feliksi alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi, akamwacha Paulo gere zani.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica