Font Size
Matayo 7:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 7:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Kwa hiyo cho chote ambacho ungependa watu wakutendee, na wewe watendee vivyo hivyo. Hii ndio maana ya sheria ya Musa na Maandiko ya manabii.”
Njia Nyembamba Na Njia Pana
13 “Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba; kwa maana mlango mpana na njia rahisi huelekea kwenye maangamizo, na watu wanaopitia huko ni wengi. 14 Lakini mlango mwembamba na njia ngumu huelekea kwenye uzima, na ni wachache tu wanaoiona.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica