Font Size
1 Yohana 3:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Yohana 3:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Ni mtakatifu, na kila aliye na matumaini haya katika yeye huendelea kuwa mtakatifu.
4 Kila atendaye dhambi huivunja sheria ya Mungu. Ndiyo, kutenda dhambi ni sawa na kuishi kinyume na sheria ya Mungu. 5 Mwajua ya kuwa Kristo alikuja kuziondoa dhambi za watu. Haimo dhambi ndani ya Kristo.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
Copyright © 2017 by Bible League International