Add parallel Print Page Options

Hivyo ninyi mbaki mmeunganishwa nami, na mfuate mafundisho yangu. Mkifanya hivyo, mnaweza kuomba kitu chochote mnachohitaji, nanyi mtapewa. Ninyi mdhihirishe kuwa mmekuwa wafuasi wangu kwa kutoa matunda mengi. Kwani hiyo itamletea Baba utukufu.[a]

Mimi nimewapenda kama vile Baba alivyonipenda. Sasa mdumu katika upendo wangu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 15:8 utukufu Au “heshima”. Tazama Utukufu katika Orodha ya Maneno.