13 Kwa maana, “Kila mtu atakayeliita Jina la Bwana, ataokoka.”

Read full chapter

13 Ndiyo, “kila mtu anayemwita Bwana[a] ili kupata msaada, ataokolewa.”[b]

Read full chapter

Footnotes

  1. 10:13 anayemwita Bwana Kihalisia, “anayeliita jina la Bwana”, ikimaanisha kuonesha imani katika yeye kwa kumwabudu au kumwomba yeye msaada.
  2. 10:13 Yoe 2:32. Tazama pia Kut 2:23-25.