26 Lakini yule Msaidizi, yaani Roho Mtakatifu, ambaye Baba yangu atamtuma kwenu kwa jina langu, atawafundisha mambo yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.

Read full chapter

26 Lakini yule Msaidizi atawafundisha kila kitu na kuwafanya mkumbuke kila nilichowaambia. Huyu Msaidizi ni Roho Mtakatifu[a] ambaye Baba atamtuma kwa jina langu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 14:26 Roho Mtakatifu Pia anaitwa Roho wa Mungu, Roho wa Kristo, na Mfariji. Katika muungano na Mungu na Kristo, hufanya kazi za Mungu miongoni mwa watu ulimwenguni.