Na tena Mungu ana pomleta mwanae, mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, anasema: “Malaika wote wa Mungu wamwabudu yeye.”

Read full chapter

Na kisha, pale Mungu anapomtambulisha Mwanaye mzaliwa wa kwanza ulimwenguni,[a] anasema,

“Basi malaika wote wa Mungu wamwabudu yeye.”[b]

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:6 ulimwenguni Hii inaweza kumaanisha ulimwengu ambamo Yesu alizaliwa (tazama Lk 2:1-14) au inaweza kuwa na maana ile ile kama katika 2:5, yaani, ulimwengu unaokuja; ambamo Kristo ametajwa kama mfalme baada ya kufufuka kwake (tazama Flp 2:9-11).
  2. 1:6 Basi … yeye Maneno haya yanapatikana katika Kum 32:43 katika tafsiri za asili za Kiyunani na katika magombo ya Kiebrania ya Kumran.